- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Hivi sasa teknolojia imekua ndiyo kila kitu hakuna mahali unapitia pasipo kutumia teknolojia, hiyo inadhirisha kuwa uwezekano wa kufanya biashara mtandaoni ni mkubwa sana cha msingi ni kujua ni vitu gani vya kufanya ili kuweza kuongeza kipato chako.
Kwa kuanza basi ni vyema nikwambie kabisa kuwa kama unataka Kufanya biashara hizi mtandaoni, kama zilivyo biashara nyingine zinaitajika uwe mvumilivu na uwe unapenda kitu unachofanya tena ni vyema kutokufikiria pesa kwanza fanya kwanza unachokifanya kisha pesa itakuja baadae, kwa njia hiyo utaweza kufanya kitu hicho kwa uhakikia na bila kusimama au kuacha.
Cha msingi hapa ni kutafuta kitu ambacho unakipenda kwa asilimia 100 na ukifanye bila kutegemea chochote kile kwani matokeo hua badae kabisa na inategemea na kitu unachokifanya na jinsi unavyo kifanya.
Kwa hapa Tanzania kifupi ni kwamba watumiaji wa mtandao huo hawako wengi sana hivyo ni vizuri kufanya kitu ambacho ni bora kwa watu na kitavutia jamii kwa asilimia 100, hii pia inategemea na aina ya kitu unachofanya pamoja na ubora wa kitu unachofanya kumbuka pesa huja baadae hivyo fanya hivi kwa subira.
Kufanya biashara hii unatakiwa kujitengenezea jina zuri pamoja na kuonyesha kwanini watu wakuchague wewe, hivyo ni vizuri kutumia muda wako kujijengea jina kwanza kabla ya kuanza kufanya biashara hii kwa hiyo pia biashara hii inaitaji subira.
Hakikisha ununui follower kwa namna yoyote ile acha watu wakufuate wenyewe kwani akaunti nyingi zilizo nunua follower unakuta mtu ana post picha wana like watu 1000 wakati akaunti hiyo ina follower zaidi ya watu laki mbili, hapo unakuta hao 1000 ndiyo wenye kufuata page yako kutokana na kitu unachokifanya. Hivyo ni muhimu kufanya kitu unachokipenda na acha watu wakufollow wenyewe hapo utapata wateja wengi.
Njia hii ni njia rahisi na inahitaji kuwa makini pale unapo nunua usije kununua kitu kibovu kwani biashara yako ndiyo inayotegemea, kuwa mvumilivu na hakikisha unafanya kwa umakini na ustarabu mkubwa sana ili kuongeza wateja kwenye biashara yako, pia hakikisha utafuti faida kubwa kwani hiyo itawafanya watu kuona ni bora waende dukani kuliko kununua kitu hicho kwako.
Hizo ni baadhi ya njia ambazo ukweli zinaweza kukusaidia kupata kipato na ukifuata kwa umakini utafanikiwa kwa asilimia 100, ukweli ni kwamba ukifanya unachokipenda lazima pesa na mafanikio yatakuja kwani utakifanya kwa ustarabu na umakini wa hali ya juu kwa sababu unakipenda utaki kuona kitu hicho kipo ovyo. Hakikisha unafuata ndoto zako na anza kufanya sasa

- Fungua Blog au Tovuti
Cha msingi hapa ni kutafuta kitu ambacho unakipenda kwa asilimia 100 na ukifanye bila kutegemea chochote kile kwani matokeo hua badae kabisa na inategemea na kitu unachokifanya na jinsi unavyo kifanya.
- Fungua Youtube Channel
Kwa hapa Tanzania kifupi ni kwamba watumiaji wa mtandao huo hawako wengi sana hivyo ni vizuri kufanya kitu ambacho ni bora kwa watu na kitavutia jamii kwa asilimia 100, hii pia inategemea na aina ya kitu unachofanya pamoja na ubora wa kitu unachofanya kumbuka pesa huja baadae hivyo fanya hivi kwa subira.
- Fanya Biashara ya Kutafuta Masoko (Online Marketing)
Kufanya biashara hii unatakiwa kujitengenezea jina zuri pamoja na kuonyesha kwanini watu wakuchague wewe, hivyo ni vizuri kutumia muda wako kujijengea jina kwanza kabla ya kuanza kufanya biashara hii kwa hiyo pia biashara hii inaitaji subira.
- Fanya Kazi ya Kutafutia Kampuni Wateja (Affiliate)
- Tengeneza Akaunti za Mitandao ya Kijamii
Hakikisha ununui follower kwa namna yoyote ile acha watu wakufuate wenyewe kwani akaunti nyingi zilizo nunua follower unakuta mtu ana post picha wana like watu 1000 wakati akaunti hiyo ina follower zaidi ya watu laki mbili, hapo unakuta hao 1000 ndiyo wenye kufuata page yako kutokana na kitu unachokifanya. Hivyo ni muhimu kufanya kitu unachokipenda na acha watu wakufollow wenyewe hapo utapata wateja wengi.
- Nunua na Uza Vitu Mtandaoni (Buy and Sell)