Now mil 50 UTT, napambana ifike mil 65 mwaka huu

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari,


Lengo siyo kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.


Sihitaji high return business bora nipate low return with minimal risk. Coz biashara imewahi nichakaza nikachanganyikiwa now sitaki kurudia makosa yaliopita. Kwangu UTT ni Bora zaidi! Nimewekeza Umoja, Jikimu, na Bond


 
 
Back
Top Bottom