- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Binafsi mimi nafanya pia forex ila siyo ile ya kufundishwa na Ontario, hapana.
Nimejifunza kwa muda mrefu lakini hadi sasa sijapata mafanikio yoyote na hii huenda ikatokana na kuwa bado sijakomaa sana kwenye forex(siyo trader mzuri). Hivyo nimepata na napata loss, faida mara moja moja sana na baada ya muda narudia tena loss.
Nilichogundua ni kuwa forex ni ngumu inahitaj muda zaidi kujifunza na kuweza kujimudu ku-trade. Ontario kama kawaida yake alianza na stori nzuri nzuri sana kama alivyoanza huku JF. Uzuri kule alifikia hatua hadi ya kuwapa watu pesa 100k kupitia challenges ambazo anaziandaa.
Anaweza kuamka tu na kusema leo atayefanya hivi nampa laki. Baadae akaanza kusimulia yote yaliyotokea hadi TMT kufa(one side story).
Kila aliyefatilia aliona kuwa huyu kijana ana kitu kikubwa ndani yake, akaongeza followers wengi kwa muda mfupi kwa jinsi anavyoelezea angle zote za biashara zilivyo na haswahaswa hii forex.
Mwanzoni alianza kukataa katakata kwa kusema atafundisha vyote ila siyo forex (ilikuwa trick watu waone forex it's a big deal).
Ghafla bin vuu, akaanza kuponda fani za watu na pia kujionyesha sana kuwa ni moja wa successful traders na yupo vizuri financially, watu wakawa wengi kufatilia (kama kawaida wabongo tunapenda sana shortcut).
Baadae akaanza kusema yupo tayari kusaidia watu waijue forex na hatimaye waanze kudownload pesa. Ila aliweka masharti ya hapa na pale, kikubwa kuchanganyachanganya watu na hatimae waone hana shida sana ya kufundisha watu forex.
Alikuwa tayari kishaplan kuanza kutrain tena watu forex, baada ya watu wengi kuonyesha wana interest ya kuijua forex. Ila kuna watu baadhi kule wana akili sana, maswali yalikuwa mengi sana kwake kuliko majibu na kuishia kuanza ku-block watu ili abaki na wale tu ambao wapo tayari shingo zao kupita kwenye kisu.
Ghafla bin vuu, lile kundi kubwa likapata support kutoka kwa watu wengine na kuambiwa "shtukeni mnaenda kupigwa, hana lolote huyo. Hapo kinachotafutwa ni pesa za kiingilio kwenye training. Na baadae mkionyesha mnaliwa sana wakati wa kutrade mtambiwa "forex is not for everyone". Cha kushangaza sasa hivi hawaambiwi forex is not for everyone, wanakaribishwa vizuri sana.
Ila watu wa kule wengi wana akili, wanajua kabisa 1+1=2, wamempa mtihani mdogo sana " nunua umeme hata wa buku(1000) halafu tutumie hayo malipo" lengo hapo waone kama hata anamiliki kibanda.
Kwanini wanamuambia hivyo? Kwa sababu ya approach zake alizoanza nazo huko za kujionyesha ana pesa sana.
Twitter kuna watu wengi sana wana akili, bado wale wa Instagram