Pata faida 30, 000 kwa siku kwa mtaji usiozidi laki 1

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Biashara ya kutembeza maandazi. Kilo 1 ya maandazi unapata faida 2000 yanatoka maandazi 40 unauza sh 100 kila andazi. Tafuta vijana 10 kila kijana mpe maandazi 120 yaani kilo 3.


Hapo akiuza yote itapatikana faida ya 6000 utampa 3000 na 3000 yako. Imagine una vijana 10 tayari una 30000 kwa siku unampita hata aliyeajiriwa ofisini na 300k zao kwa mwezi 1


Akili kichwani mwako kama utataka wazo lengine usijali kuja PM


 
 
Back
Top Bottom