"Perfect Cripsin" mtangazaji mwenye uwezo mdogo aliyepewa nafasi Clouds FM

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kati ya watangazaji wa Clouds FM waliopewa nafasi na hawajui kutangaza basi huyu ni mmoja wao.. Anachapia mfano hakuna, hawezi kusoma habari(Tangazo let say)... Anabrag brag tu...


Siyo wivu, ila ukweli lazima usemwe.. Kiufupi hawezi kutangaza


 
 
Back
Top Bottom