Muziki wa darasa wapigwa baada ya taarifa ya habari Clouds

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kama ni kuaga Mwaka darasa wimbo wake umetushika vilivyo... Ni baada ya watayatishaji wa vipindi clouds TV kuonekana katika taarifa ya Khabar wakiwatakia watazamaji heri ya Mwaka Mpya kwa kucheza wimbo wa darasa Ndani ya dakika zisizo pungua dakika tatu 3,


Darasa...

Mwaka ujao uwe zaidi ya hapa


 
 
Back
Top Bottom