Picha ya Konde Boy inakosolewa sana na wadau mpaka naona kama hana shabiki baada ya kutoka Wasafi

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Inashangaza sana kuona picha nzuri ka hii inakosolewa na baadhi ya watu. Kila anaeiona anasema "Huyu kweli Mmakonde sa ndo msuko gani wa kike" wanadai kuwa hajapendeza na msuko huo.


Mim najaribu kuwauliza vipi kama Mondi akisuka hivyo watakosoa wanavyokosoa hii? Au ni chuki tu baada ya kutoka WCB?.


Wadau mnaonaje picha na muonekano huu wa Mzee Konde?

Mimi namshauri kulingana na maoni ya wadau bora abadili style ya nywele zake tu.


Sent using Jamii Forums mobile app


 
 
Back
Top Bottom