- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Heshima kwenu wakuu.
Nimetoka kumdhamini jamaa yangu mkopo bank tajwa.
Hii riba haikubaliki Tanzania amekopa 5m rejesho 565, 000 kwa mwezi mara miezi 12.
Najiuliza bank kuu ya Tanzania haina viwango standard kwa mabank kabla ya kuwapa vibali? Na je mbona Eura wameweza kukontrol bei ya nauli na mafuta? Bank kuu wanashidwa nini?
_Huyu kijana mwenzetu Naibu waziri wa fedha mwenye shahada ya uchumi daraja "A" hawezi kutusadia riba za mabank zishuke?
_ Naomba tujadili hili swala