Sehemu gani kwa mbeya inayolipa kwa biashara ya chakula

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Za leo wa ndugu, mimi ni msichana wa miaka 23 ni mwanafunzi wa chuo(must) nipo mbeya,, Nimebahatika kupata mtaji wa milioni moja,, nimewaza biashara gani ya kufanya nikaamua kufanya biashara ya chakula,, sasa tatizo linakuja sijui ni mahala gani pazuri pa kufungua mgahawa wa chakula na chipsi

Kwa wakazi wa mbeya naomba mnishauri,, au kama unawazo tofauti na la kufungua mgahawa kwa mtaji wangu huo naomba pia mnishauri.

Asanteni


 
 
Back
Top Bottom