Tanzia: Msanii wa vichekesho, "KIinyambe" afariki dunia huko Mbeya

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwao Mbeya.


Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitisha kuwa, msanii huyo wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James Nsemwa, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.


 
 
Back
Top Bottom