King AlliKiba kwenda kuishangaza dunia mwezi huu

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habar wakuu!


Ni mwezi huu June ambapo Mfalme ataenda kubeba tuzo zake 7 za KTMA


Ni mwezi june ambapo Video ya chekecha itakapokwenda kutoka ambapo inategemewa kwenda kuvunja record ya video ile ya kipuuz ya yule jirani yetu iliyotoka juzi.


Ni mwezi june ambapo King ataanza rasmi project yake kwenye coke studio ambapo atakuwa na wasanii wakubwa mbalimbali kama 2face, Yemi Alade etc


Ni mwezi June ambapo ile collabo kali inayosubiriwa na wengi ya KingKiba na Christian Bella itakapokwenda kutoka.


Ni mwezi june ambapo King ataanza tour rasmi barani ulaya na Australia kwa ajili ya kueneza mziki wake.


 
 
Back
Top Bottom