Kwanini wasanii wanaijeria wanatukimbiza huko youtube

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Leo nilikuwa napitia huko youtube nimegundua wasanii wetu watachukua muda mrefu kufikia level za wasanii wa naija. Kwanini tunaachwa mbali sana nyimbo za wasanii wetu ukizisikia zinavyolia kila mtaa unaweza usiamini utachokiona huko youtube viewers ni wachache sana


Wakati wenzetu ukisikia nyimbo inalia mtaani utakuta inatembea viewrs 50m wanakwama wapi wasanii wetu. Unaweza kukusanya video zote za msanii wa muda mrefu lakini utakuta hamfikii hata chipukizi wa naijeria aliyetoa nyimbo moja


Tunawasanii hawazidi saba ndiyo ambao tumekuwa tunawategemea ndo mana wanashindwa kushindana na msitu huu wanaijeria


 
 
Back
Top Bottom