P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Sunday at 2:04 PM #1 Wakuu ukweli mtoto wangu mwenye umri wa miaka 8 ana tatizo kubwa la kuto kula na hii inatusumbua sana sisi wazazi wake wakuu naomba ushauri ama mwenye kujua tiba atujuze. Nawasilisha
Wakuu ukweli mtoto wangu mwenye umri wa miaka 8 ana tatizo kubwa la kuto kula na hii inatusumbua sana sisi wazazi wake wakuu naomba ushauri ama mwenye kujua tiba atujuze. Nawasilisha