Tatizo la kuuma kwa visigino

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wanajamii, naomba mnisaidie kama kuna mtu anafaham wapi ninaweza kupata tiba au tiba ya hili tatizo


Mama yangu akitembea, visigino umuuma, na akikaa vinauma kwa ku''pwita", alikwenda hospital akambiwa kuwa ni mnene sana, so apunguze uzito kwa kufanya mazoezi. Lakin mpaka sasa hali ni mbaya, kwani anashindwa hata kutembea. Jamani kama kuna msaada mwingine ninaweza kuupata naomba mnisaidie. Ana uzito wa kilogram 90, umri ni miaka 46 na urefu wa mita 1.5


 
 
Back
Top Bottom