Tetesi; Eti Jay Dee ameenda kupandikizwa mimba (artificial insemination)

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nimeinyaka kutoka kwenye chanzo kiaminifu kwamba JIDE kule Ufaransa amepandikizwa mimba kwani hana uwezo wa kushika kwa njia ya kawaida, kitaalamu wanaita Artificial insemination, yaani mbegu za kiume zinachukuliwa na kupandikizwa kwenye mji wa mimba kwa vifaa maalum. Nakutakia kila la kheri dada!


 
 
Back
Top Bottom