- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Hawa tigo walitangaza kwamba uki top up salio lako kwanzia buku litakua doubled. Cha ajab kila nkiweka wanauchuna af kesho yake wanajifanya kuommba radhi na wananipa dk.13 za kuongea. Nikafanya calculcation nikagundua hata hzo dakika wanazokupa siyo actual. Je hili tatizo ni kwang peke yang au kuna wakuu wengine limewakuta?