- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Nawasalimu!
Mteja wangu anahitaji gari kati ya toyota liteace noah au nissan serena. Wadau naombeni ushauri kati ya magari haya mawili lipi bora zaidi kwa matumizi ya familia siyo biashara.
Nahitaji kumnunulia toka japan na kesho nategemea kulipa pesa.