Uozo wa nssf arusha room #8

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Nasikitishwa sana na wafanyakazi wa NSSF Arusha kwani mteja akiingia wanakuona kama msumbufu na

Wao wamebaki wanatafuna maandazi na kuzungumza kwenye simu zao. Hivi kweli ndiyo Ofisi ya kibiashara ilivyo? Mbona wanafanya kazi kama wafanyakazi wa Serikali Kuu.


Ingawa Mkurugenzi Mkuu, Dr. Ramadhani Dau wakati wa Mkutano wa Wadau uliofanyika Arusha, alidai kwamba Ofisi ya Arusha imefanyiwa marekebisho katika utendaji wake. Kumbe ndiyo hamna kitu.


Njoo kesho zimezidi kwa wanaofuatilia madai yao.


 
 
Back
Top Bottom