P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Sunday at 2:02 PM #1 Wadau naomba mnijuze uzuri na ubaya wa gari aina Toyota Vitz. Vigezo muhimu vikiwa, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea na gharama za spea, ugumu wa body yake, matatizo ya kiufundi nk mengine mengi
Wadau naomba mnijuze uzuri na ubaya wa gari aina Toyota Vitz. Vigezo muhimu vikiwa, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea na gharama za spea, ugumu wa body yake, matatizo ya kiufundi nk mengine mengi