Uzuri na ubaya wa gari aina ya toyota vitz

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wadau naomba mnijuze uzuri na ubaya wa gari aina Toyota Vitz. Vigezo muhimu vikiwa, ulaji wa mafuta, upatikanaji wa spea na gharama za spea, ugumu wa body yake, matatizo ya kiufundi nk mengine mengi


 
 
Back
Top Bottom