VIDEO: Aziz Ki tayari amefunga ndoa, ala kiapo cha kuwa mume wa Hamisa Mobetto

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wakuu


Fundi wa ball ashavuta jiko


Aziz Ki amekamilisha kiapo cha ndoa msikitini na rasmi ni mume wa Hamisa Mobetto.


Soma, Pia

  • Aziz Ki amemtolea Hamisa Mobetto Mahari ya Tsh. Milioni 30
  • VIDEO: Fuso mbili za Ng’ombe, Mahari ya Hamisa Mobetto


 
 
Back
Top Bottom