Hivi Lulu alianzaje kuandika ujumbe huu dhidi ya Ali Kiba au anataka tuamini kuwa ni kweli?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Msanii wa filamu Elizabeth Michael ‘Lulu’ amekanusha tetesi ya muda mrefu ya kutoka kimapenzi na hit maker wa wimbo ‘Aje’ Ali Kiba.


Muigizaji huyo mahiri wa filamu amekiambia chanzo chetu kuwa hajawahi kutoka kimapenzi kama baadhi ya watu wanavyodai.


“Sijawahi kutoka kimapenzi na Ali Kiba kwa muda wowote, sijawahi,” alisema Lulu. “Na hatujawai kuwa na ukaribu wa namna hiyo, lakini ni watu ambao we known each others, na tukikutana tuongea na mambo mengine,”


Hata hivyo kwa sasa muigizaji huyo anadaiwa kutoka kimapenzi na CEO wa EFM, Majay kutokana na wawili hao kuwa karibu zaidi katika kipindi hiki.

Source: Bongo yetu blog


 
 
Back
Top Bottom