Wajama biashara gani inayolipa?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wana JF mimi ni mwanafunzi natarajia kuhitimu elimu yangu ya sekondari mwaka huu. Ninaomba ushauri wenu wa kufanya biashara gani kipindi nikiwa nyumbani kuliko kukaa tu bila lolote.... Ninakamtaji kama 150, 000 hivi fremu ipo ni yetu lakini ikija kwenye kuchagua aina ya biashara ni mtihani mkubwa... Sasa wanaJF nipeni idea nifanye biashara gani.(Siyo VIBAYA KILA MTU AKATAJA BIASHARA Halafu NIKACHAGUA)AhSnTeNi


 
 
Back
Top Bottom