Wapi nitapata mkopo wa 100, 000 kwa siku ya kesho narudisha jumamosi.

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wakuu,


Husika na kicha kwa habari hapo juu. Nimepata shida kidogo nafanya biashara ya mitumba nimekuja Ilala kuchukua mzigo (nguo za watoto) imepungua kama laki moja ili nichukue mzigo mkubwa zaidi (nauzia minadani).

Hela narudisha Jumamosi jioni baada ya kumaliza mnada wa kwanza.


Naishi Dar lakini nazunguka minadani ya Morogoro zaidi bond sina labda niweke vyeti vyangu hivi kuanzia form four mpaka chuo kikuu 😄😃 au kimeo changu hichi nitamuachia, but na imani Jumamosi jioni narudisha hela.


Nb..

Kijana kama ni graduate kama Mimi usikae tu tupambane kwa hali yoyote mpaka hizo ajira zitatukuta njiani. Siyo expert sana kwenye hii biashara lakini kwa experience hii ndogo mwenye maswali aniulize nitajibu yoote.


Kwa mawasiliano zaidi 0757590836.


 
 
Back
Top Bottom