Yafahamu madhara ya car Air Fresher

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Ndugu wanaJF naomba msaada wenu, nina ndugu yangu kwa sasa amegundulika kwamba ana matatizo ya kutoweza kuhisi arufu yoyote(i mean sense of smell zimekufa) akiwa nyumbani hata itokee arufu gani mbaya hawezi kusense.


Hospital wamemwambia ni kwa sababu ya car airfreshener ambayo anaiweka kwenye gari lake huku akiwa full AC.


WanaJF naomba msaada wenu kweli Car Air freshener inapotza sense of smell?


 
 
Back
Top Bottom