- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Habari wana JF,
Mfanyabiashara wa madini, Jimmy Mcmele, 21 amefariki dunia kwa ajali ya gari maeneo ya tegeta dsm akiwa na Benz lake.
Jimmy Akiwa Kwenye Helkopta yake.
AKiwa Na pesa za kutumia kwa usiku mmoja weekend
Nyumba yake na Benz alilopata ajali.