Zembwela nenda shule...... You will prosper

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Najua kama binadamu una mapungufu yako ya kibinadamu.

Lakini kwenye kazi yako unafanya vizuri sana na unaweza kufanya vizuri zaidi iwapo tu utaenda shule ya kitaaluma.

Hii itasaidia sana kwako kukuongezea ujuzi, ufahamu, uelewa na uwezo wa kuchanganua mambo, kujenga hoja, kuilinda na kuitetea.

Kwa sasa unaboa sana, watu wanadhani una chuku binafsi, lakini tatizo lako siyo chuki binafsi ila huna ufahamu ndiyo maana wajanja wanakutumia kwa manufaa yao binafsi bila ya wewe kujijiua na halii hii inapelekea heshima na utu wako mtaani kushuka na kudorora kila uchao


 
 
Back
Top Bottom