P PamojaForumsPamojaForums is verified member. Administrator Staff member Joined Mar 14, 2026 Messages 33,422 Sunday at 2:05 PM #1 Wadau Tunapoelekea Yaani lazima Kila mtu ajue afya yake labda Usipende kupata mtoto Maana Huu mtindo Mtu akipata Mimba lazima apimwe mh Hapa na Czn wangu anataka kutoa mimba kisa anaogopa du wadau afanyaje
Wadau Tunapoelekea Yaani lazima Kila mtu ajue afya yake labda Usipende kupata mtoto Maana Huu mtindo Mtu akipata Mimba lazima apimwe mh Hapa na Czn wangu anataka kutoa mimba kisa anaogopa du wadau afanyaje