- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Habari za leo wana jamvi!
Naomba kuuliza hivi unaweza kupata ujauzito siku ya (12) tangu kuanza kwa period iliyopita? Mf. Umeanza period tarehe 02/11 then uka-do trh 14/11 je unaweza kupata ujauzito?