- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Habari zenu natafuta biashara mpya nifanyie Dar es Salaam, biashara hakufanyikiwa bado nani anawazo nzuri anisaidie
Tuseme mfono nilete kitu gani kutoka Dubai au china au india halafu niwe agent yao hata kama hela ya msingi itafika milioni mia