Biashara ya Mpesa na Airtel Money kwa mtaji wa Milioni 4

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wana jamvi nahitaji kufungua biashara ya mpesa na airtel money! Nina milioni 4 cash... Naomba mwenye uzoefu na kazi hii anipe mchanganuo wa huo mtaji na kama kuna faida ya kutosha nitakayopata kulingana na mtaji huo... Nawasilisha


 
 
Back
Top Bottom