Clouds acheni vitisho

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Rama dee na adili kwenye facebook wameandika kuwa kusaga na kinje wamekaa kikao na kujadili jinsi ya kupunguza makali vinega na vinega wamerekodi mazungumzo yao acheni hayo mambo mjue sasa ishu si ya vinega hii movement ipo kwa raia sasa na dunia yote inajua hamuwezi kuzuia mvua mmenyonya sana wasanii vinega siyo kama misukule. Sasa watapambana na UMA. Hawa clouds sijui wanapata nguvu wapi

Soggy doggy alitekwa juzi na kutishiwa maisha yake na pia gari yake kuharibiwa sijui nani anafanya haya mambo


 
 
Back
Top Bottom