Dawa ya ugonjwa wa kisukari

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
>>>>Upate aina za dawa zifuatazo, kila moja kiasi cha gram 100, saga

>>>>pamoja na dawa zifuatazo:

>>>>1. Shubiri

>>>>

>>>>2. Ubani

>>>>

>>>>3. Mvuje

>>>>

>>>>4. Ukwaju

>>>>

>>>>5. Habasoda

>>>>

>>>>(kiasi cha dawa hizi hazijatwangwa, hivyo jaribu kukadiria

>>>>mwenyewe) baada ya kusaga vizuri, gawanya katika mafungo matatu

>>>>yaliyosawa. Changanya fungu moja na maji kiasi cha chupa mbili na

>>>>uchemshe kwa dakika kumi. Ipua na iwache ipoe, chuja na hifadhi

>>>>katika chupa nadhifu.

>>>>

>>>> MATUMIZI YA DAYA YENYEWE

>>>>

>>>>Tumia kila siku kikombe kimoja cha kahawa kabla ya kula chochote

>>>>asubuhi kwa muda wa siku 13. Ikiisha dawa hii basi chukua fungu

>>>>la pili na uchemshe kama ulivofanya kwa fungu la mwanzo. Tumia

>>>>daya hii tena kwa muda ule ule wa siku 13.

>>>>

>>>>Itakapokwisha dawa hii basi chukua fungu la tatu na uitayarishe

>>>>kamaUlivyofanya mafungu mawili ya mwanzo. Tumia dawa hii kama

>>>>dawa hizo mbili za mwanzo ila tu kwa muda wa siku 14, hii

>>>>itafanya jumla ya siku za kunywa daya kuwa siku 40.

>>>>

>>>>Baada ya siku hizo 40 utajisikia kuwa ugonjwa wa kisukari

>>>>umekwisha na unaweza kuanza kula vitu vyote ulivyokuwa

>>>>umekatazwa. Inshallah kwa kudra zake mwenyezi mungu utakuwa

>>>>umepona maradhi hayo.


 
 
Back
Top Bottom