Doctors nisaidieni dawa ya kusafisha figo na mfumo mzima wa mkojo

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari zenu wakuu!

Samahani naomba msaada wa jina la dawa inayopatikana phamarcy au kwenye maduka ya dawa inayoweza kusafisha figo na mfumo mzima wa mkojo ili nikainunue.. Pia kwa wale wanaozijua dawa za asili msisite kushare uzoefu wenu na wapi zinaweza kupatikana hizo dawa.


Natanguliza shukrani zangu


 
 
Back
Top Bottom