Ipi yenye faida, kati ya biashara ya kutembeza (kufuata wateja), au ya kukaa mahali kusubiri wateja?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Hello wana jamii forums


Mimi nimejaribu kuangalia jinsi biashara zinavyoenda hususani Moshi, nimeona kuna utendaji wa biashara wa aina mbili kutembeza na nyingine kukaa kusubiria wateja, mfano biashara ya nguo, viatu, ndizi naona kuna wanaotembeza na wanao kaa mahali kusubiria wateja. Ipi ni nzuri kati ya hizi na ipi yenye faida biashara ya kutembeza au kukaa kusubiria wateja.


Nahitaji mchango wenu wa mawazo.


Asanteni


 
 
Back
Top Bottom