JCB: sikuzomewa.. Jamiiforum imeusika kusambaza uzushi..

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Leo kwenye xxl ya clouds fm

Msanii wa hipohop kutoka Arusha, amefunguka na kusema kwamba hiyo show ilikuwa poa sana na hakuna vurugu zilizotokea..

Amesema kama wapo waliorusha mawe basi walilushiana wao kwa wao, kwani yeye pia ni underground kwa hiyo hawezi kuwadis wenzake..

Amedai waliompa habari hizi walidai wamezitoa jamiiforum..


 
 
Back
Top Bottom