Jinsi ya kukopa bank wa biashara ya usafirishaji.

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari wana JF,

Naomba nikili kuwa hali yangu kiuchumi siyo nzuri, na hasa baada ya kuingia white house huyu mzee wa Geita. Naona mambo kama vile yamefungwa kwa makufuli yasiyofunguka.


Kwa kawaida mimi huwa ni mfanyabishara wa biashara ya kuagiza kutoka nje ya Nchi. Kutokana na kila sehemu ya kuingizia mizigo kuwa hazieleweki, nafikiria kubadili biashara kwa kujiingiza kwenye bishara ya usafirishaji, hasa kwa kutumia magari makubwa(Truck/Lorry/Tandam au hata Vipisi).

Tatizo ni kuwa sina Cash, ila naviji assets kama vile nyumba(Zenye Hati na zisizo na Hati), wake.


Ninahitaji Bank waniwezeshe, naombeni mawazo ya jinsi ya kuanza kuchakalikia huo mkopo.


 
 
Back
Top Bottom