Kampuni ya Tahmeed yaleta mabasi mfano wa ndege

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Mama kwa hakika serikali ya Tanzania haikukosea kuipa cheti cha ushindi kwa mabus ya Tahmeed. Sasa Tahmeed wamezidi kudhihirisha kuwa wataendelea kuwa vinara kwa vipindi vyote na kukosa mpinzani kwa kuleta mabus mapya aina ya zhongtong ambayo ndani yana muonekano kama ndege za boeing, kwani hadi sasa ndiyo mabus pekee yenye siti za 2 by 1 mwanzo hadi mwisho wa bus. Niliwahi kuwaahidi miezi minne nyuma kuwa Watanzania wajiandae kwa ugeni huu mzito.


Tahmeed coach

Your comfort


Is our concern


 
 
Back
Top Bottom