Kwa mstari huu FID Q kachemka!

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Mimi huwa napenda hiphop sana. Niliposilikiza hii video ya Cypher 2012-Various Artists nilipatwa na mshangao. Sijui Fid Q alikuwa anafikiria nini kwenye ule mstari anaosema "Changanya ****** ili mavi yasigande"...


 
 
Back
Top Bottom