Kwa nini kukata 'kakofia'?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kama kazi ya MUNGU haina makosa, kwa nini kina baba tunakata 'vikofia' vya 'fimbo shughuli' kwa kisingizio cha ustaarabu wa Mashariki ya kati (yaani kama wanavyofanya Wayahudi na Waislam-kutahili)?


Mie napanga kuwashitaki wazazi wangu wanirudishie 'kikofia' changu.


Naomba ushauri kabla ya kuchukua hatua hiyo.: target:: target:: target:


 
 
Back
Top Bottom