- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Wakuu mimi bado sielewi haya maji kwa jinsi yanavyofanana kiasi kwamba yanatuchanganya wateja. Chupa zao zinafanana hadi nembo zao. Kwenye maji ya kilimanjaro wameandika a product from land of kilimanjaro wakati sequa wameandika a quality product frm mountain kilimanjaro. Au labda ni kampuni moja tu na sequa water ni tawi