Mange Kimambi vs Le mutuz, chanzo cha bifu ni nini?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Leo katika mtandao wa instagram kumeibuka mvutano mkubwa na vijembe kati ya mange na lemubebezz tajiri mkubwa lemutuz

Vijembe vilianzishwa na lemutuz kuwa mange ni kibibiz kisichokuwa na kazi maalum, yaan ni jobless na anashinda kwenye mitandao kufwatilia ya watu

Jioni hii mange naye kajibu mapigo eti lemutuz ni kubwa jinga, kuwa ameshindwa kujenga kwao na anaishi hapa mjini kimaigizo, kujionyesha kwingi na hela hana jionee[emoji116]


 
 
Back
Top Bottom