Mliopo USA, swali

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Kusema ukweli nilipapenda sana states lakini si sehemu ambayo mtu kama mimi naweza kusurvive katika mazingira kama haya


Hivi watu wa ATL mnasurvive vipi namna hii? Maana wanawake ndiyo wenye pesa zaidi sasa kwa nini msi wa wife wanawake kama hawa kisha basi?


Duh!


Kama huyu mie namweka ndani hakuna kutoka na nakuwa mkali kuliko Osama na zaidi ya yote akitoka basi ni NINJA tuuu hapa haaminiwi mtu si Abtichaz wala huyo ES na jamaa zake


 
 
Back
Top Bottom