- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Wasalaam Wanajf,
Ninatamani nifanye biashara ya burger sasa nimejiuliza maswali yafuatayo:
Ninatamani nifanye biashara ya burger sasa nimejiuliza maswali yafuatayo:
- Inabidi uwe na mtaji wa kiasi gani (kwa kuanzia)?
- Ni vitu gani vinavyohitajika?
- Risk za biashara hii ni zipi?