Msaada: Nataka kuboresha biashara yangu ya bar

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Wanajamvi wenzangu, mimi nina bar yangu, ambayo location yake ipo mafichoni kidogo, na watu si wengi.


Uendeshaji wake mwanzo kabla sijaichukua ulikuwa mbovu kutokana na mmiliki kuishi mbali.


Sasa nimeichukua na nataka nifanye maboresho, je ni vitu gani niongeze tofauti na wahudumu.


Ili iweze kuwa na tija. Natanguliza shukurani.


 
 
Back
Top Bottom