- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
Jaman naomba ushaur me nipo mkoa wa Kilimanjaro, Nina mtaji wa milion kumi, nan mwenye wazo LA biashara itakayo nilipa.
NB. Pesa ya kula na kujikimu nategemea hapo hapo.
NB. Pesa ya kula na kujikimu nategemea hapo hapo.