Wema amkumbuka ex wake baada ya kumwagwa na Idriss Sultan

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Staa wa bongo muvi Tanzania beautiful onyinye Wema Isaac Sepetu amemkumbuka ex wake ambaye ni model mtanashati Luis Munana

Wema aliandika maneno kuashiria amelikumbuka penzi lake na Luis na kutupia picha waliyopiga pamoja.


Hata hivyo watu wengi wametafsiri ujumbe huo ni dongo kwa Idriss Sultan ambaye kwa sasa wameachana naye na kila mmoja ana hamsini zake


 
 
Back
Top Bottom