- Joined
- Mar 14, 2026
- Messages
- 33,422
HABARI WANAJAMVI, Naomba kuuliza kuhusu chimbo zuri la kununua mitumba balo za mitumba za nguo mbalimbali hapa Tanzania na nje. Connection naomba na kwa ushauri pia nipo tayari kupokea kwa sababu ndiyo nataka kuanza hii biashara