Nataka kuchukua mkopo wa Tsh Milion 60. Benki gani wanaweza kutoa huu mkopo?

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Habari wanajamvi


Nahitaji kuchukua mkopo wa MILION 60 mkataba wa miaka 6.


Je, bank gani wanaweza kunipa huu mkopo bila usumbufu?


Nina-asset ya nyumba 4 na shamba lenye heka 5 la mazao takudumu.


Karibuni.


 
 
Back
Top Bottom