Nawapongeza wenye RADIO hizi kwa kurusha matangazo online na wengine waige

Joined
Mar 14, 2026
Messages
33,422
Hizi radio online zinasaidia sana jamii iliyo nje ya nchi na pia kwa sababu ya kukua kwa technology basi unaweza sikiliza radio kwenye simu, laptop nk. Hivyo nawapongeza wamiliki wa vituo hivi kwa kutuwekea matangazo online. Sijajua inagharimu kiasi gani ila na wengine wangeiga kwani Radio kubwa kama RFA, Radio One, TBC hawana kitu kama hiki


Stations


88.4 | Clouds FM - The People's Station

The People's StationRevy | Dar es Salaam, Tanzania


89.1 | Radio Maria (Tanzania) (Radio Maria (RM)) - A Christian VoiceIn Your Home

A Christian Voice In Your HomeKatolik | Arusha, Tanzania


92.1 | Info Radio

Rock | Mtwara, Tanzania


87.8 | Pride FM - Inapasua mawimbi

Inapasua mawimbi | Mtwara, Tanzania


87.8 | Ebony fm (EBONY FM 87.8) - feel the difference

Feel the difference | Iringa, Tanzania


97.9 | Radio Kwizera - Jukwaa La Matumaini

Jukwaa La MatumainiSamhälle, Katolik | Ngara, Tanzania


88.5 | COUNTRY FM - ONE COMMUNITY

ONE COMMUNITYSamhälle, Country | Iringa, Tanzania


102.6 | Choice FM - The Better Music Mix

The Better Music MixRevy | Dar es Salaam, Tanzania


104.1 | RADIO KHERI

| Dar es Salaam, Tanzania


103.6 | Qiblaten FM - Sauti ya Hekima

Sauti ya HekimaIslam | Iringa, Tanzania


92.9 | magic fm - believe in the power of magic

Believe in the power of magic | Dar es Salaam, Tanzania


99.9 | Passion FM

| Mwanza, Tanzania


91.9 | HHC Alive FM Radio - Sauti ya Tumaini

Sauti ya TumainiSamtidakristen musik | Mwanza, Tanzania


93.0 | Mambo Jambo FM

Tal | Arusha, Tanzania


100.5 | Times fm - Experience Africa

Hatua TatuAfrican Rhythms | Dar es Salaam, Tanzania


Link zuri kwenye compute ni Tunein Wale wenye android phones wanaweza ku download na Tunein na kuitumia kwenye simu


 
 
Back
Top Bottom